Fahamu vituo vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 Shinyanga

August 27, 2021 5:56 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kama uko katika Mkoa wa Shinyanga iwe mjini au vijijini na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 18  katika Halmashauri sita za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili uwe salama. Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

Nukta TV

CEO, TAB Group: Africa Agri Expo 2026 inakwenda kufungua fursa kimataifa, kilimo cha Tanzania

CEO, TAB Group: Africa Agri Expo 2026 inakwenda kufungua fursa kimataifa, kilimo cha Tanzania

Nukta TV

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

Nukta TV