Vituo vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 Mara

August 19, 2021 5:49 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Bado hujapata chanjo na uko Mkoa wa Mara? Basi haujachelewa, Serikali imeweka vituo 22 katika Halmashauri zote saba za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili ujikinge na ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
24 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
24 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Nukta TV

Othman Masoud: Serikali ya Umoja wa Kitaifa si mwisho wa safari ya watu wa Zanzibar

Othman Masoud: Serikali ya Umoja wa Kitaifa si mwisho wa safari ya watu wa Zanzibar

Nukta TV

OTHMAN MASOUD alivyoapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

OTHMAN MASOUD alivyoapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Nukta TV