Waliokula hela za ‘Plea Bargaining’ wachukuliwe hatua

February 2, 2023 1:09 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Ameitaka Serikali kufanya upeleleze wakinakubaini waliohusika

Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Anna Henga ameitaka Serikali  kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kwenye upotevu wa hela za ‘plea Bargaining’.

Henga aliyekuwa akiwasilisha mapendekezo ya kuboresha mfumo wa taasisi za haki jinai leo Februari 2, 2023 jijini Dar es Salaam ametaka mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG)kufanyiwa kazi

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

Nukta TV

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

Nukta TV

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV