Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 5, 2026
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB navyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo, Januari 5, 2026.
Viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa kwa wafanyabiashara, wawekezaji na walipakodi, hasa katika kufanya malipo ya ada, kodi pamoja na ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.
Kupitia viwango hivi vya kubadilisha fedha, watumiaji wa sarafu za kigeni hupata mwongozo sahihi wa kupanga bajeti, kufanya manunuzi na kuendesha shughuli zao za kifedha kwa ufanisi zaidi.
Viwango hivi humsaidia mtumiaji wa fedha za kigeni katika malipo na manunuzi ya bidhaa kutoka nje ya nchi, kwa kuzingatia viwango rasmi vilivyotolewa na benki husika.

Latest