Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Februari 4, 2026

February 4, 2026 11:18 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB kwa matumizi ya leo Februari 4, 2026 huku Dola ya Marekani ikizidi kuongezeka thamani dhidi ya Shilingi ya Tanzania.

Viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa kwa wafanyabiashara, wawekezaji na walipakodi, hasa katika kufanya malipo ya ada, kodi pamoja na ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.

Kupitia viwango hivi vya kubadilisha fedha, watumiaji wa sarafu za kigeni hupata mwongozo sahihi wa kupanga bajeti, kufanya manunuzi na kuendesha shughuli zao za kifedha kwa ufanisi zaidi

Hata hivyo, fedha nyingine kutoka mataifa mengine duniani zimeendelea kuimarika au kushuka kama inavyoonekana ikiashiria mabadiliko ya nguvu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya sarafu za kimataifa.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
27 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
27 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Dk Nchimbi afukuzwa CCM, Ndejembi akipendekezwa kuchukua mikoba

Dk Nchimbi afukuzwa CCM, Ndejembi akipendekezwa kuchukua mikoba

Nukta TV

Haya hapa mafao ya Dk Emmanuel Nchimbi aking’atuka madarakani

Haya hapa mafao ya Dk Emmanuel Nchimbi aking’atuka madarakani

Nukta TV

SIMULIZI: Namna Magufuli, Samia walivyoichonga historia ya Bwawa la Mwalimu Nyerere

SIMULIZI: Namna Magufuli, Samia walivyoichonga historia ya Bwawa la Mwalimu Nyerere

Nukta TV