Viwango vya kubadili fedha Tanzania Desemba 10, 2025
December 10, 2025 10:40 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Desemba 10, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
17 hours ago
·
Nuzulack Dausen
Ulinzi mkali Dar es Salaam wadhibiti maandamano Desemba 9
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Mchengerwa aipa Wizara ya Afya mwelekeo mpya, watumishi waonywa
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Serikali yajipanga kudhibiti maandamano Desemba 9
5 days ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani