Viwango vya kubadili fedha Tanzania Julai 4, 2025

July 4, 2025 9:45 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Julai 4, 2025.

Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Kwa mujibu wa Benki ya NMB Shilingi ya Kenya inaendelea kuimarika kutoka Sh18.3 iliyokuwa ikinunuliwa Julai 2,2025 na kuuzwa kwa Sh24.3 leo inanunuliwa kwa Sh18.4 na kuuzwa kwa Sh166.

Hii ni sawa na kusema Shilingi hiyo imeongezeka mara sita zaidi ya gharama iliyokuwa ikinunuliwa awali.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Oct, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
16 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
16 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

Nukta TV

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

Nukta TV

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV