Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 23, 2025

May 23, 2025 8:48 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Mei 23, 2025

Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks