Viwango vya kubadili fedha Tanzania Agosti 25, 2025
August 25, 2025 11:44 am ·
Sauda Ndaza
Viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Agosti 25, 2025.
Viwango hivi, vinatarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
/
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
25 May, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →25 May, 2026