Fahamu Vituo vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 Pwani

August 24, 2021 9:04 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Bado hujapata chanjo na uko Mkoa wa Pwani? Basi haujachelewa, Serikali imeweka vituo 26 katika Halmashauri zote tisa za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili ujikinge na ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

Nukta TV

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

Nukta TV