Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 7, 2025
May 7, 2025 9:39 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Mei 7, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

5 hours ago
·
Fatuma Hussein
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya afariki dunia

6 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Tanzania, Msumbiji kufungua fursa mpya za ushirikiano wa maendeleo

1 day ago
·
Fatuma Hussein
Njia za kumsaidia mtoto wako kupenda hisabati

2 days ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 6, 2025