Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Machi 3, 2025
March 4, 2025 3:49 pm ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 3, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

12 hours ago
·
Lucy Samson
Wanawake Tanesco watwishwa zigo kukabiliana na rushwa

13 hours ago
·
Fatuma Hussein
Biteko: Tanesco itoe elimu unafuu wa kupika kwa umeme

16 hours ago
·
Lucy Samson
Ripoti: Tanzania yapanda viwango mapambano dhidi ya rushwa

2 days ago
·
Lucy Samson
Mambo ya kuzingatia unapojiandaa kustaafu