Nchi zenye kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira duniani

September 16, 2021 2:10 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Orodha inaongozwa na Afrika Kusini.
  • Kati ya nchi 10 kwenye orodha, nne zipo barani Afrika.

Dar es Salaam. Ukosefu wa ajira ni tatizo kwa nchi nyingi duniani. Ongezeko la watu, mdororo wa kiuchumi, ukuaji wa teknolojia na sayansi ni baadhi ya sababu zinazochochea ukosefu wa ajira.

Shirika la Habari la Bloomberg, hadi kufikia robo ya pili ya mwaka 2021, imezitaja nchi 10 ikiwemo Afrika Kusini zilizokuwa na kiwango kikubwa cha watu wasio na ajira duniani.

Nchini Afrika Kusini, watu watatu kati ya 10 nchini humo hawana ajira.

Nchi gani nyingine zilizoingia kwenye orodha hii?

                          

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
25 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Ukweli kuhusu Mama Fatma Karume, mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar

Ukweli kuhusu Mama Fatma Karume, mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar

Nukta TV

Tanzania yasisitiza amani na suluhu Mashariki ya Kati, kikao cha 81 cha UN

Tanzania yasisitiza amani na suluhu Mashariki ya Kati, kikao cha 81 cha UN

Nukta TV

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Nukta TV