Nape: Tumepanua uhuru wa vyombo vya habari Tanzania

May 2, 2022 7:58 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani amepanua uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, jambo linalotoa fursa kwa waandishi kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini.

​Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Mei 3, 2022, Waziri Nape amesema wataitumia siku hiyo kufanya tathmini ya hatua zilizopigwa katika kuongeza uhuru wa kujieleza nchini hasa unahusu vyombo vya habari.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Nukta TV

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Nukta TV