Mbowe kugombea tena uenyekiti Chadema

December 21, 2024 2:26 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Asema hawezi kung’atuka wakati chama hicho kikiwa kwenye mivutano.

Arusha. Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema atagombea tena uenyekiti wa chama hicho kwa kuwa bado kipo kwenye mivutano.

Mbowe ametoa uamuzi huo leo Disemba 21, 2024 alipokuwa akizungumza na wanachama pamoja na viongozi wa chama hicho nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.

“Nimetafakari kwa kina sana, nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya mivutano iliyopo, kwahiyo chadema nipo nitakuwepo. Nitagombea,” amesema Mbowe. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks