Mambo yatakayosaidia kampuni chipukizi wakati wa Uviko-19

November 5, 2021 6:53 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na punguzo la kodi kwa kampuni hizo.
  • Utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu.

Dar es Salaam. Kutokana na janga la Uviko-19 kuathiri utendaji wa kampuni zinazochipukia (startups) nchini, hatua muhimu zinahitajika kufanyika ili kuzisaidia kampuni hizo kukua na kuimarika tena.

Hatua hizo ni pamoja na utoaji wa mikopo yenye masharti nafuu kwa kampuni chipukizi ili ziweze kupata mitaji ya kuendeleza biashara zao wakati wa Uviko-19.

Vilevile, kupunguzwa kwa kodi ili kuzipa uhueni kampuni hizo kutokana na mwenendo usioridhisha wa biashara.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
28 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
28 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV