Mambo ya kuepuka siku ya kupiga kura

October 26, 2020 1:46 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kufanya kampeni ya aina yoyote siku hiyo.
  • Usivae sare au kutumia alama za chama cha siasa.
  • Hauruhusiwi kukaa kwenye kituo baada ya kupiga kura.

Dar es Salaam. Bila shaka unafahamu kuwa imebaki siku moja tu kufika Oktoba 28, tarehe ambayo inampatia haki kila Mtanzania aliyejiandikisha kupiga kura kumchagua Rais, Mbunge na Diwani amtakaye. 

Ili kuepuka usumbufu, unatakiwa kuepuka baadhi ya mambo ikiwemo kuvaa sare za chama, kutumia alama za chama na hata kuimba nyimbo za chama kwani vyama vyote vilitakiwa kufanya hayo wakati wa kampeni.

Je, ni mambo gani mengine unayotakiwa kuyaepuka siku ya kupiga kura? Tazama video hii kufahamu zaidi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV