Live: Safari ya mwisho ya Hayati John Magufuli

March 26, 2021 6:40 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baada ya kuishi miaka zaidi ya 61 ulimwenguni, John Magufuli, Rais wa tano wa Tanzania atakuwa akipumzishwa katika makazi yake ya milele katika makaburi ya familia huko Chato mkoani Geita leo alasiri.

Hayati Rais Magufuli alifariki dunia Machi 17 mwaka huu jijini Dar es Salaam katika hospitali ya Mzena alipokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi ya moyo.

Misa ya kumuombea Hayati Rais Magufuli, inayofanyika katika kiwanja cha Magufuli mjini Chato, inaongozwa na Askofu Mkuu, Gervas Nyaisonga, Rais wa Baraza la Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴LIVE: LIVE:WABUNGE WAKIWACHAPA MASWALI MAWAZIRI | Bunge la 13 | Kikao cha 28

🔴LIVE: LIVE:WABUNGE WAKIWACHAPA MASWALI MAWAZIRI | Bunge la 13 | Kikao cha 28

Nukta TV

Top 10 ya magari yanayotumia kiwango kidogo cha mafuta

Top 10 ya magari yanayotumia kiwango kidogo cha mafuta

Nukta TV

SGR yaingizia Serikali Sh169.37 bilioni tangu kuanza kwa safari Juni 2024

SGR yaingizia Serikali Sh169.37 bilioni tangu kuanza kwa safari Juni 2024

Nukta TV