Hii ndiyo tiba sahihi ya magonjwa ya moyo

December 14, 2020 6:40 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kufanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki.
  • Pia kuwa mwangalifu na chakula na vinywaji unavyotumia kila siku.
  • Endapo uzito wako umepitiliza, jitahidi kuupunguza kwa kufuata ushauri wa waaalamu.

Dar es Salaam. Ugonjwa wa moyo ni kati ya maradhi yanayowasumbua watu wengi duniani. 

Sababu kubwa inayotajwa kusababisha matatizo ya moyo ni mtindo mbaya wa maisha ikiwemo ulaji wa chakula usiozingatia kanuni bora za lishe.

Yapo baadhi ya mambo ambayo ukifanya yatakusaidia kuepuka changamoto za kiafya kwenye kiungo hicho muhimu mwilini ikiwemo kufanya mazoezi na kuepuka unywaji wa pombe uliopitiliza. 

Je, ni mambo gani mengine ya kuzingatia ili kuepukana na maradhi ya moyo? Video hii inakufahamisha zaidi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
NISHATI

NISHATI

Nukta TV

Utani wa Rais Samia kwa wachimba madini wa Katoro

Utani wa Rais Samia kwa wachimba madini wa Katoro

Nukta TV

Rais Samia: Misaada imepungua, tukaze buti

Rais Samia: Misaada imepungua, tukaze buti

Nukta TV