Hali halisi huduma za uzazi Tanzania

April 22, 2022 1:03 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya mwaka 2015/16, idadi ya wanaojifungulia vituo vya afya na kwa msaada wa watu wenye ujuzi inazidi kuongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka.

Ripoti ya utafiti huo iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar (OCGS) inaonyesha kuwa mwaka 2015/16 asilimia 63 ya watoto walizaliwa kwenye vituo vya afya ikiwa ni ongezeko kutoka asilimia 50 au nusu ya watoto waliofanyiwa utafiti mwaka 2010.

​Licha ya ongezeko hilo, changamoto inabaki kwa wajawazito wanaoishi vijijini ambao hulazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma hizo kwa sababu ya zahanati kuwa mbali na maeneo wanayoishi. 

Hali hiyo inaweza kuhatarisha afya zao na watoto.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV