Mapishi · May 3, 2026 12:40 pm
Wali ni miongoni mwa vyakkula maarufu vinavyopikwa mara kwa mara katika nyumba nyingi nchini Tanzania. Umaarufu wa chakula hicho huonekana zaidi katika matukio muhimu ikiwemo sherehe, ambapo hupikwa wa aina mbalimbali ili kuvutia wageni. Licha ya umaarufu wake, mapishi ya aina moja ya chakula hiki huchosha walaji hivyo unaweza ukatumia karoti kuongeza ladha na ubunifu […]
Mapishi · March 20, 2026 6:42 pm
Pishi hili ni mbadala wa aina nyingine za pilau zilizozoeleka ambazo hupikwa mara kwa mara katika matukio muhimu.
Mapishi · December 23, 2025 5:19 pm
Skonzi ni kitafunwa kinachopendwa na watu wengi hasa wakati wa asubuhi na mara nyingi huliwa kikiwa kimeambatana na chai, kahawa au maziwa.
Mapishi · December 10, 2025 4:37 pm
Pia chakula hiki kimekuwa ni mkombozi hasa kwa watu ambao hawana muda wa kukaa muda mrefu jikoni kuandaa chakula.
Mapishi · October 15, 2025 4:35 pm
Kwa kutumia kifaa hiki pishi hili huiva kwa haraka bila kupoteza virutubisho.
Mapishi · August 29, 2025 3:44 pm
Mlo huu utakusaidia kubadilisha ratiba ya chakula nyumbani badala ya wali au ugali uliozoeleka.
Mapishi · August 21, 2025 7:17 pm
Chakula hiki hupikwa kwa kuchanganya wali pamoja na viungo vingine ikiwemo hiriki, mdalasini na karafuu, zabibu
Mapishi · July 2, 2025 6:14 pm
Ikiwa hujaanza kutumia jiko hilo la umeme lenye presha, basi jikosokoni.co.tz wanayo dukani kwao, unaweza kujipatia moja kwa bei rahisi.
Mapishi · June 24, 2025 5:09 pm
Jiko hilo la umeme la presha ukifanya chakula kuwa na ladha nzuri bila kupoteza virutubisho.
Mapishi · May 27, 2025 10:50 am
Unaweza kupika chakula kigumu kama maharage au nyama kwa dakika chache tu, bila kupoteza ladha au ubora.
Mapishi · May 6, 2025 4:20 pm
Ikiwa hauna njugu mawe unaweza kutumia kunde, choroko au maharage.
Mapishi · April 17, 2025 4:31 pm
Kupika kwa kutumia kifaa hiki cha kisasa ni salama na mboga inaiva kwa haraka huku ikiwa na ladha nzuri.
Mapishi · March 17, 2025 5:56 pm
Kababu ni miongoni mwa vitafunwa maarufu ambavyo hupikwa kwa aina yake vikivutia walaji kutoka sehemu mbalimbali nchini. Kitafunwa hiki huweza kupikwa kwa kutumia nafaka na vitowe mbalimbali zikipewa majina tofauti mfano, kababu za kuku ambazo hupikwa kwa nyama ya kuku, kababu za nyama ya ngombe na samaki ambazo zote hupikwa kulinga na matakwa ya mpishi […]
Mapishi · March 7, 2025 3:59 pm
Aina hii ya bagia inaweza kuliwa na pilipili au sosi yoyote utakayopendelea ukishua na kinyaji chako pendwa.
Mapishi · February 20, 2025 6:19 pm
Supu hii sio tu ni tamu pia ina virutubisho muhimu kama protini,mafuta na vitamini A,na B.