Bei ya ulezi haikamatiki mkoani Mbeya
August 13, 2024 1:03 pm ·
Mlelwa Kiwale

Gunia la kilo 100 la ulezi linauzwa kwa bei ya juu katika mkoa wa Mbeya kwa Sh250,000, karibia mara 4 ya bei ya chini iliyorekodiwa Ruvuma ambayo ni Sh60,000 tu.
Latest
10 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Mwigulu: Kutangaza idadi ya vifo ni kutonesha vidonda vya Watanzania
11 hours ago
·
Fatuma Hussein
Ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake bado kitendawili duniani
18 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 25, 2025
1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Fedha za sherehe ya uhuru kukarabati miundombinu iliyoharibiwa Oktoba 29