Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la uchochezi

November 6, 2026 1:22 pm · Waandishi Wetu
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni baada ya kusota siku 557 mahabusu akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini.

Dar es Salaam/Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kukutwa na hatia ya kosa dogo la uchochezi katika kesi ya uhaini iliyokuwa ikimkabili.

Uamuzi huo umetolewa leo, Novemba 6, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, na jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru.

Awali, mahakama ilisema haijamkuta Lissu na hatia ya uhaini kwa kuwa upande wa mashtaka ulishindwa kuthibitisha kipengele muhimu cha nia ya kuitisha Serikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Nov, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Nov, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BEI YA MAFUTA DAR | Sh10,000 kununua lita 2.44 za petroli, 2.42 za dizeli

BEI YA MAFUTA DAR | Sh10,000 kununua lita 2.44 za petroli, 2.42 za dizeli

Nukta TV

Namna Rais Samia alivyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo, Jimbo la Chamwino

Namna Rais Samia alivyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo, Jimbo la Chamwino

Nukta TV

Ndejembi: Wanachamwino wameona kwa macho, mrithi wangu ataendeleza kasi ileile

Ndejembi: Wanachamwino wameona kwa macho, mrithi wangu ataendeleza kasi ileile

Nukta TV