Ahueni, Serikali ikitangaza kuongeza vituo 10 vya CNG Dar, Mtwara, Moro

May 29, 2026 6:53 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Wachambuzi wapongeza hatua hiyo, wasema watumiaji wa usafiri binafsi ndio wtakaonuaika zaidi.

Arusha. Huenda wamiliki wa vyombo vya moto nchini Tanzania vinavyotumia gesi asilia iliyoshinikizwa (CNG) wakapata ahueni kiduchu mara baada ya Serikali kutangaza mpango wa kuongeza vituo10 vya gesi hiyo nchini.

Mpango huo unaotarajiwa kutekelezwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kwa kushirikiana na sekta binafsi umebainishwa na Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba katika kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma jana Mei 28, 2026.

Salome amebainisha kuwa vituo hivyo vitajengwa katika mikoa mitatu ambapo ya Dar es Salaam, Mtwara na Morogoro pamoja na kukamilisha taratibu za ununuzi wa vituo vitano vya gesi visivyohamishika katika mikoa mingine mitatu.

Ikiwa mpango huo utakamilika Tanzania itakuwa na jumla ya vituo 28 vy CNG vitakavyorahisisha utoaji wa huduma hiyo kutoka vituo 18 vilivyopo sasa.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
28 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
28 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV