Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Mei 4, 2026

May 4, 2026 12:30 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya ubadilishaji wa fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Mei 4, 2026 vimeendelea kuonyesha utulivu, huku baadhi ya sarafu zikisalia katika viwango vilevile bila mabadiliko yoyote ikilinganishwa na mwezi uliyopita. 

Kwa mujibu wa takwimu za viwango hivyo kutoka benki za CRDB na NMB, thamani ya sarafu mbalimbali dhidi ya Shilingi ya Tanzania imebaki ile ile kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

Mathalani, Dola ya Marekani leo imenunuliwa kwa Sh2,570 na kuuzwa kwa Sh2,650 kupitia Benki ya CRDB na NMB ikiwa ni sawa na kiwango kile kilichorekodiwa Aprili 4, 2026.

Hali hii inaashiria mwenendo thabiti wa soko la fedha za kigeni nchini, ingawa viwango hivi huweza kubadilika kila siku kulingana na nguvu ya mahitaji na upatikanaji wa fedha za kigeni.

Kwa wafanyabiashara, wawekezaji pamoja na walipakodi, taarifa za viwango vya fedha ni muhimu katika kufanya maamuzi ya kifedha, ikiwemo kulipia bidhaa kutoka nje ya nchi, ada mbalimbali na majukumu ya kikodi.

Sambamba na hilo, sarafu nyingine kutoka mataifa kama China, Afrika mwezi uliopita iliyopita bila kuonyesha mabadiliko makubwa.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
21 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
21 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwanzo mwisho mapokezi ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi Ikulu Dar es Salaam

Mwanzo mwisho mapokezi ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi Ikulu Dar es Salaam

Nukta TV

Sikia kisa cha bibi wa Mbagala, chanzo Jaji Mkuu Masaju kupanda cheo

Sikia kisa cha bibi wa Mbagala, chanzo Jaji Mkuu Masaju kupanda cheo

Nukta TV

FAHAMU KUHUSU SIKOSELI | Part 1: Ugonjwa wa kurithi, unaotesa maelfu ya watoto Tanzania

FAHAMU KUHUSU SIKOSELI | Part 1: Ugonjwa wa kurithi, unaotesa maelfu ya watoto Tanzania

Nukta TV