Yaliyotekelezwa ndani ya siku 100 za Samia
February 11, 2026 6:00 pm ·
Fatuma Hussein

Dar es Salaam. Katika siku 100 za uongozi wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Serikali imechukua hatua kadhaa za kuboresha maisha ya wananchi.Â
Miongoni mwa hatua hizo ni pamoja na kuajiri watumishi 12,000 katika sekta za afya na elimu kama sehemu ya kutimiza ahadi za Rais wakati akihutubia Bunge kwa mara ya kwanza baada ya kuapishwa kwake.
Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
30 May, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
30 May, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →30 May, 2026