Tamisemi yatua kariakoo kukagua soko jipya kabla ya uzinduzi kesho

February 7, 2026 8:32 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Prof Riziki Shemdoe leo Februari 7, 2026 amewasili jiji Dar es Salaam, kukagua maandalizi ya uzinduzi wa Soko jipya la Kariakoo. 

Akizungumza na waandishi habari Prof. Shemdoe amesema ameridhishwa na maandalizi yanayoendelea ya uzinduzi wa soko hilo na kuwataka wananchi wote wa jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwenye hafla hiyo hapo kesho Februari 8, 2026, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
27 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
27 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV