Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Juni 18, 2025
June 18, 2025 9:42 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Juni 18, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

2 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia: legezeni masharti utoaji mikopo ya 10%

2 hours ago
·
Fatuma Hussein
Serikali yaanza kutafuta suluhu Watanzania kutoingia Marekani

5 hours ago
·
Fatuma Hussein
Watoto wasiotunza wazazi wao kuchukuliwa hatua kisheria

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia aonya siasa kilimo cha pamba Simiyu