Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni May 8, 2025
May 8, 2025 5:35 pm ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo May 8, 2025
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

6 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Tanzania, Msumbiji zasaini makubaliano kufungua fursa kibiashara

6 hours ago
·
Esau Ng'umbi
Nyama, nguo vyapunguza mfumuko wa bei Tanzania

9 hours ago
·
Fatuma Hussein
Bajeti ya Wizara ya Maji yapaa kwa asilimia 61 mwaka 2025/26

1 day ago
·
Fatuma Hussein
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya afariki dunia