Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Machi 12, 2025
March 12, 2025 10:13 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 12, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
5 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
6 days ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka
