Viwango vya kubadili fedha za kigeni Januari 28, 2025

January 28, 2025 9:30 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Januari 28, 2025.

Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia azindua minara 758, aacha maagizo mazito juu ya mkongo wa taifa

Rais Samia azindua minara 758, aacha maagizo mazito juu ya mkongo wa taifa

Nukta TV

JAJI MKUU: Njia za asili ni mojawapo ya njia halali za utatuzi wa migogoro

JAJI MKUU: Njia za asili ni mojawapo ya njia halali za utatuzi wa migogoro

Nukta TV

Hesabu ya bosi, bei ya mafuta pasua kichwa madereva wa daladala

Hesabu ya bosi, bei ya mafuta pasua kichwa madereva wa daladala

Nukta TV