Viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania leo Disemba 17, 2024
December 17, 2024 9:22 am ·
Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
Dola ya Marekani iliyokuwa ikinunuliwa kwa Sh2,290 na kuuzwa Sh2,44 kwa mujibu wa Benki ya CRDB jana imeendelea kusalia sawa leo Disemba 17,2024 huku kwa upande wa Benki ya Kuu ya Tanzania (BoT) Dola ya Marekani inaendelea kuimarika kutoka kununuliwa Sh2,291.04 na kuuzwa Sh2,313.95 jana Disemba 16, 2024 hadi kufikia kununuliwa Sh2,310. 89 na kuuzwa Sh2,334 Jumanne ya leo Disemba 17,2024.
Thamani ya Dola ya Marekani katika Benki ya Kuu ya Tanzania (BoT) imeongezeka kuuzwa Sh19.85 na kununuliwa ikiwa na ongezeko la Sh20.05.
Latest
19 hours ago
·
Lucy Samson
Sababu Mbowe kugombea tena uenyekiti Chadema
21 hours ago
·
Lucy Samson
Mbowe kugombea tena uenyekiti Chadema
2 days ago
·
Davis Matambo
Majaliwa akabidhi nyumba 109 kwa waathirika wa mafuriko Hanang
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Disemba 20,2024