Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Oktoba 21, 2024

October 21, 2024 10:31 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na CRDB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 21, 2024.

Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi, kulipia ada za wanafunzi, kulipia pesa za matibabu kwa wagonjwa walioko nje ya nchi ama kumtumia ndugu, jamaa na rafiki pesa ya matumizi.

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Wabunge waliokwenda Morocco bila kibali kikaangoni , utoro ukiibuliwa bungeni

Wabunge waliokwenda Morocco bila kibali kikaangoni , utoro ukiibuliwa bungeni

Nukta TV

Mfahamu Leonard Mususa Alama ya Ungozi iliyoacha majonzi kwa 'MACEOs' Tanzania

Mfahamu Leonard Mususa Alama ya Ungozi iliyoacha majonzi kwa 'MACEOs' Tanzania

Nukta TV

Bei za mafuta mwezi Juni hizi hapa, dizeli ikipaa kwa Sh85

Bei za mafuta mwezi Juni hizi hapa, dizeli ikipaa kwa Sh85

Nukta TV