Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo Novemba 1, 2024.

November 1, 2024 10:27 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Novemba 1, 2024.

Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.

Enable Notifications OK No thanks