Mwenendo wa viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kati ya Juni na Julai
July 2, 2024 2:57 pm ·
admin
Dola ya Marekani imeendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania kwa mwezi Juni na kufikia Sh2,633 kwa Dola moja leo Julai 2, 2024 kutoka Sh 2,599 iliyokuwepo Juni 3, 2024.
Latest

19 minutes ago
·
Kelvin Makwinya
Idara ya Uhamiaji Tanzania yatahadharisha umma na utapeli wa ajira

2 hours ago
·
Fatuma Hussein
Si kweli: TRA wametoa matokeo ya usaili wa nafasi za kazi

2 hours ago
·
Lucy Samson
Bei ya petrol, dizeli yapaa miezi minne mfululizo

3 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha za kigeni Aprili 2, 2025