Hifadhi ya chakula yaongezeka Tanzania

November 16, 2020 10:48 am · Nuzulack Dausen
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni ile inayohifadhiwa katika Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ambayo imefikia   tani 109,733 kwa mwaka ulioishia Septemba 2020.

Dar es Salaam. Benki ya Tanzania (BoT) katika ripoti ya mapitio ya uchumi ya Oktoba 2020 imeeleza kuwa akiba ya chakula kwenye maghala ya  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kwa mwaka ilioishia Septemba 2020 imefikia tani 109,733.

Hifadhi hiyo ndiyo kiwango kikubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya miaka mitano  iliyopita kwa mwaka unaoishia Septemba.

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mikakati ya Serikali kuhakikisha walimu wa VETA wanapata ajira na mikopo

Mikakati ya Serikali kuhakikisha walimu wa VETA wanapata ajira na mikopo

Nukta TV

Mama Salama alivyombana Wanu kuhusu maslahi ya walimu wanaojitolea

Mama Salama alivyombana Wanu kuhusu maslahi ya walimu wanaojitolea

Nukta TV

Kwanini uchafuzi wa mazingira ni tishio kwa afya ya binadamu na uchumi

Kwanini uchafuzi wa mazingira ni tishio kwa afya ya binadamu na uchumi

Nukta TV