VIDEO: Unasumbuliwa na mba kichwani? Fanya haya

December 11, 2020 9:09 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kufahamu aina ya ngozi yako ili ufahamu bidhaa zinazokufaa kwa matumizi ya kichwani.
  • Pia, unahitaji kuzingatia ulaji wako kwani unamchango mkubwa katika ngozi yako.

Dar es Salaam. Kama kuna muda unajikuta unawashwa kichwa, huenda muwasho huo unasababishwa na mba ambao huwapata zaidi wanawake wanaopendelea kusuka rasta, na hata wanaume.

Endapo mba ni tatizo sugu kwako, unahitaji kubadilisha mtindo wa maisha kuanzia ulaji wa chakula na namna aina ya vipodozi unavyotumia kwenye ngozi yako.

Kufahamu zaidi, Video hii inakuhusu:

/
No matches found for this filter
26 May, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
26 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

Nukta TV

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

Nukta TV

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

Nukta TV