Vyakula vinavyowafaa wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo

January 11, 2021 9:54 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na matunda na mboga za majani.
  • Bado unashauriwa kumuona daktari ili upate maelekezo sahihi zaidi.

Dar es Salaam. Vindonda vya tumbo (Ulcers) ni changamoto ya kiafya ambayo husababishwa na mambo mengi ikiwemo aina ya vyakula na baadhi ya dawa zinazotumiwa na watu mara kwa mara.

Matahalan, kwa mtu anayetumia pilipili, baadhi ya vinywaji kama kahawa bila ulinganifu, yupo katika hatari ya kusumbuliwa na ugonjwa huu.

Kwa mujibu wa Kathryn Watson anayeandikia tovuti ya afya ya Healthline, baadhi ya vyakula vinavyoweza kumsababishia mtu kupata vidonda vya tumbo ni pamoja na vyakula vilivyoshamiri viungo (spices), matumizi ya vyakula vya jamii ya malimao (citrous), pilipili na matumizi ya baadhi ya dawa zikiwemo ‘aspirin’ na ‘ibuprofen’.

Kwa mazingira ya Kitanzania, vyakula gani vitamsaidia mtu aliye na vidonda vya tumbo? Tazama video hii kujifunza:

/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
25 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

Nukta TV

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

Nukta TV

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

Nukta TV