Faida mlima: CRDB ilivyovuka faida ya Sh200 bilioni
April 19, 2021 5:13 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Faida kabla ya kodi ya benki hiyo imeongezeka kwa Sh61 bilioni sawa na asilimia 35 ndani ya mwaka mmoja licha ya mwaka 2020 kuwa na changamoto ya maradhi ya ugonjwa wa Corona.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
/
30 May, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
31 May, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →31 May, 2026