Matokeo kidato cha sita mwaka 2021 haya hapa
July 10, 2021 12:22 pm ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa matokeo ya mitihani ya kidato cha ita na ualimu iliyofanyika Mei 2021.
Kupata matokeo ya kidato cha sita bonyeza hapa.
Endelea kutufuatilia ili kufahamu wanafunzi, shule na mikoa iliyofanya vizuri na kushika mkia kitaifa.
Latest
5 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
7 days ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
7 days ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka
