Utarajie nini ukipata chanjo ya Corona?

August 2, 2021 11:50 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Unaweza kupata changamoto za afya za muda mfupi.
  • Ni pamoja na maumivu ya kichwa na kichefu chefu.

Dar es Salaam. Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona inatolewa kwa ajili ya kumsaidia mtu kukabiliana na ugonjwa huo pale atakapoupata kwa sababu inaongeza kinga ya mwili dhidi mashambulizi ya virusi. 

Kwa sasa, Tanzania imeanza kutumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambapo inatolewa katika vituo 550 mikoa yote. 

Kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima, mnamo Julai 28, 2021 wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo,  imesaidia nchi zilizoendelea ikiwemo Marekani na Uingereza katika kupunguza vifo vya watu pamoja na idadi ya watu wanaolazwa hospitalini na kuwekewa gesi ya oksijeni.

Dk Gwajima alisema, kuna taarifa nyingi za uongo kuhusiana na chanjo ya Uviko-19 ikiwemo watu kupata changamoto za kiafya baada ya kupata ikiwemo vifo.

Hata hivyo, waziri huyo alisema, ni kawaida kwa watu kupata changamoto ndogo ndogo ikiwemo kuumwa kichwa baada ya baada ya kupata chanjo lakini hazidumu muda mrefu.

Unataka kujifunza kuhusu changamoto hizo ambazo ni za kawaida? Tazama video hii:

                       

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV