Vituo vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 Iringa

August 17, 2021 11:31 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Bado hujapata chanjo? Kama uko katika Mkoa wa Iringa pamoja na viunga vyake na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 15 katika Halmashauri zote tano za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW