Vituo 27 vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 mkoani Mtwara
August 21, 2021 6:13 am ·
Clifford
Dar es Salaam. Wewe ni miongoni mwa watu ambao wana mpango wa kupata chanjo lakini hujui ni wapi utachanjwa? Kama uko katika Mkoa wa Mtwara iwe mjini au vijijini na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 27 katika Halmashauri zote tisa za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.
Nenda kachanje ili uwe salama. Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Latest
6 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
1 week ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka