Mambo yatakayosaidia kukuza uchumi wa Tanzania wakati wa Uviko-19

August 21, 2021 6:30 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Wakati janga la corona likiendelea kutikisa dunia, nchi nyingi ikiwemo Tanzania zimeathirika kiuchumi kutokana na kupungua kwa shughuli za biashara na uzalishaji.

Mathalan, uchumi wa Tanzania ulikuwa kwa asilimia 4.8 mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 7 mwaka juzi, kwa mujibu Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Licha ya athari za ugonjwa huo katika sekta ya uchumi nchini, kuna nafasi ya kukuza sekta hiyo endapo nchi itachukua hatua mbalimbali.

Kuongeza vita dhidi ya Uviko-19, itasaidia kuokoa maisha na kulinda nguvu kazi lakini kutaongezeka ajira na kuimarika kwa sekta binafsi hivyo kuinua tena upya uchumi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV