Mambo yatakayosaidia kukishinda kirusi kipya cha Corona

December 2, 2021 12:57 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa kirusi kipya cha Corona aina ya ‘Omicron’ kinazidi kusambaa duniani ambapo kwa sasa kimeripotiwa katika nchi 23. 

Kutokana na hali hiyo, wanasayansi wanaendelea kufanya tafiti juu ya kirusi hicho, uwezo wake na madhara kinayoweza kusababisha ili kuwakinga watu.

​Kwa sasa, WHO na mamlaka za afya nchini Tanzania zimewataka wtu kuendelea kuchukua tahadhari ikiwemo kupata chanjo, kunawa mikono, kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi 2026-27

Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi 2026-27

Nukta TV

Waziri Khamis: Serikali haijaongeza kodi kwa bodaboda

Waziri Khamis: Serikali haijaongeza kodi kwa bodaboda

Nukta TV

Nyavu za samaki zamuibua Ado Shaibu bungeni, Spika Zungu amtuliza

Nyavu za samaki zamuibua Ado Shaibu bungeni, Spika Zungu amtuliza

Nukta TV