Unavyoweza kumfundisha mtoto wako kuchukua tahadhari ya Uviko-19

December 20, 2021 2:04 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Tumia nyimbo n amichezo anayoipenda.
  • Hakikisha usimpe taarifa zisizo sahihi.
  • Muelekeze kuhusu Uviko-19 kulingana na uwezo wake.

Dar es Salaam. Ni rahisi kumpa maelekezo mtu mzima na akaelewa, mfano, ukimwekea ndoo ya maji ya kunawa na sabuni, atajua kuwa anatakiwa kunawa na ukimpatia barakoa, atajua ni ya kuvaa.

Kwa mtoto inaweza ikawa kazi kidogo kumwelewesha juu ya ugonjwa wa Corona (Uviko-19) kwa sababu anasubiri kupewa maelekezi afanye nini.

Siyo watoto wote, kwa hapa tunaongelea watoto waliopo ngazi ya chekechea na kwenda chini ambao bado hawana utambuzi mkubwa mambo yanayoendelea.

Ili mtoto wako aelewe juu ya kujikinga na Uviko-19, unatakiwa kutumia njia ambazo watoto huelewa zaidi ikiwemo nyimbo na michezo wanayopenda.

Ufanyaje kumwelewesha mtoto wako juu ya tahadhari za ugonjwa wa Uviko-19, tazama video hii kujifunza zaidi.

                          

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV