Jinsi mabadiliko ya tabianchi yanavyoigharimu Tanzania

February 22, 2022 10:24 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link
  • Takriban trilioni 1.2 zinahitajika kwa mwaka ili kupunguza  athari za mabadiliko ya tabianchi.

Dar es Salaam. Tanzania ni moja ya nchi nyingi duniani zinazokumbana na athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo kuongezeka kwa joto pamoja na kupungua kwa mvua.

Hali hiyo ambayo inaendelea kutishia maisha ya viumbe hai duniani, imesababisha kuongezeka kwa gharama za kitaifa hasa katika harakati za kukabiliana na athari zake.

Kwa mujibu wa Ripoti ya 3 ya Hali ya Mazingira Tanzania (2019) iliyotolea na Ofisi ya Makamu wa Rais, inaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi yanaigharimu Tanzania takriban asilimia 1 ya pato la Taifa, kiwango ambacho kinakadiriwa kitaongezeka hadi asilimia 2 ifikapo mwaka 2030.

Jambo la hatari zaidi ni kuwa joto linatarajiwa kuongezeka kati ya juzijoto 1 hadi 2 ifikapo 2030 na kusababisha ongezeko la magonjwa kikiwemo kipindupindu, hivyo kuweka rehani maisha wananchi, hatua zisipochukuliwa.


Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

HELSB yatoa majina wanufaika wa mkopo awamu ya kwanza

Nukta TV

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

TBS yatoa tahadhari matumizi ya ‘sponge’ kupika chapati

Nukta TV

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV