Chanjo ya Uviko-19 Afrika Mashariki bado ngoma ngumu

September 6, 2022 11:50 am · admin
Share
Tweet
Copy Link
  • Tanzania yawa kinara kwa kuchanja watu wengi. 
  • Kongo DRC, Burundi na Sudani kusini zasua sua. 

Dar es salaam. Janga la Uviko-19 bado limeendelea kuitesa dunia licha ya juhudi mbalimbali kukabiliana nalo. 

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa hivi sasa jumla ya visa milioni 600.3 vya maambukizi ya Uviko-19  na vifo milioni 6.4 vimeripotiwa duniani kote.

Wakati bara la Afrika likifikisha jumla ya maambukizi milioni 9.2 bado juhudi za kutoa chanjo hazijawa za dhati katika baadhi ya mataifa yakiwemo ya ukanda wa Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa data zilizochapishwa na WHO hadi Septemba 6 mwaka huu, Tanzania ndio nchi iliyokuwa imechanja watu wengi zaidi kulinganisha na nchi nyingine za ukanda huo ambapo jumla ya watu milioni 17.3 wamechanjwa.

/
No matches found for this filter
26 May, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
26 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

Nukta TV

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

Nukta TV

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

Nukta TV