Tatizo la afya ya akili sasa kutupiwa macho

October 11, 2022 8:23 am · admin
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ipo haja ya kuwa na vituo maalumu vya kutoa huduma ya saikolojia pamoja na huduma za matibabu ya matatizo ya afya ya akili nchini Tanzania kutokana na mfululizo wa matukio yanayohusishwa na suala hilo.

Waziri Ummy aliyekuwa akizungumza katika kongamano la kwanza la kitaifa la afya ya akili lililofanyika Octoba 10,2022 ikiwa ni siku ya afya ya akili duniani alisema vituo hivyo vya saikolojia vitasaidia kupunguza wimbi watu kupata magonjwa ya akili.

Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinabainisha kuwa mtu mmoja kati ya watu nane duniani anakabiliwa na tatizo la afya ya akili huku Tanzania ikiwa na takribani watu milioni saba wenye matatizo mbalimbali ya afya ya akili.

 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Nukta TV

Rais Samia: Kalamu yangu ina hatari, sijawahi kusaini mtu kunyongwa

Rais Samia: Kalamu yangu ina hatari, sijawahi kusaini mtu kunyongwa

Nukta TV

Rais Samia: Matumizi jina Samia, likiwa kila mahali inachosha, tafuteni wengine

Rais Samia: Matumizi jina Samia, likiwa kila mahali inachosha, tafuteni wengine

Nukta TV