Uviko-19: Maeneo yaliyotengwa kutoa chanjo Tanga

August 31, 2021 11:51 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kama uko katika Mkoa wa Tangai na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 33 katika Halmashauri 11 za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili uwe salama. Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

​

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
24 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
24 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Zungu: Kura zimepigwa , pesa ya Serikali imeruhusiwa kuanza sasa kuitumia

Zungu: Kura zimepigwa , pesa ya Serikali imeruhusiwa kuanza sasa kuitumia

Nukta TV

Bunge la Tanzania lapitisha ya Serikali kwa 97%

Bunge la Tanzania lapitisha ya Serikali kwa 97%

Nukta TV

Hawa hapa wabunge waliopiga kura ya hapana, kupitisha Bajeti ya Serikali

Hawa hapa wabunge waliopiga kura ya hapana, kupitisha Bajeti ya Serikali

Nukta TV